• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

1.0: UTANGULIZI:

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani ni moja ya Vitengo katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Kitengo hiki kinahusika na Udhibiti wa Matumizi ya Fedha na Raslimali za Serikali katika Ofisi hiyo kulingana na taratibu, kanuni na miongozo mbalimbali ya Serikali.

Kitengo kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani Bwana Paschal M. Shindai.

Simu Na. +255 784 621 560

Email: paschal.shindai@bagamoyodc.go.tz

 

2.0 KAZI NA MAJUKUMU YA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI:

  • Katika kutekeleza majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa ndani, pamoja na mambo mengine, watumishi wa kitengo cha ukaguzi wanayo majukumu ya kufanya kazi zifuatazo:-
  • Kukagua na kutoa taarifa kama sheria na taratibu mbalimbali zilizowekwa ili kuendesha
  • Halmashauri ya Wilaya zinazingatiwa na kufuatwa kikamilifu.
  • Kufanya ukaguzi na kutoa taarifa iwapo mapato ya H/Wilaya yamekusanywa kwa kufuata   sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali pamoja na H/Wilaya kwa kutumia sheria ndogo.
  • Kukagua na kutoa taarifa kama matumizi ya fedha za matumizi ya kawaida pamoja na
  • miradi ya maendeleo yamefanywa kwa kuzingatia mipango kazi na Bajeti iliyoidhinishwa.
  • Kuhakiki ufanisi wa mifumo mbalimbali iliyowekwa na Halmashauri ya Wilaya  ili
  • Kuhakikisha kuwa suala la udhibiti wa ndani (Internal control system) linafanya kazi
  • sawasawa ili kuepusha hasara yoyote inayoweza kutokea kwenye Halmashauri ya
  • Wilaya kutokana na kutofanya kazi kikamilifu kwa mifumo mbalimbali iliyowekwa na
  • H/Wilaya.
  • Kutayarisha ripoti za ukaguzi wa ndani za mwezi na robo mwaka kuhusu mambo yote
  • yaliyobainiwa katika kaguzi mbalimbali  na kuziwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa
  • Halmashauri ya Wilaya kwa ajili ya kufanyiwa kazi na nakala ya ripoti hizo kuwasilishwa
  • kwenye Mamlaka mbalimbali zikiwemo Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali,
  • Ofisi ya Katibu Tawala (M), Mkaguzi wa ndani Mkuu wa Serikali (IAG), Vikao vya Timu
  • ya Manejimenti ya H/Wilaya pamoja na Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya
  • H/Wilaya.
  • Kufanya shughuli zingine kadri inavyoelekezwa mara kwa mara na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo