• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Kitengo cha ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
        • Ujenzi
        • Kitengo cha TASAF
        • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Kitengo cha usimamizi wa Usafi na Taka
        • Divisheni ya Viwanda,Biashara na uwekezaji
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
        • Kitengo cha Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
        • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
        • Kitengo cha Fedha na Hesabu
        • Kitengo cha usimamizi wa Manunuzi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Divisheni ya utawala na rasilimali watu
    • Baraza la Madiwani
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

TAARIFA YA O& OD

TAARIFA YA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA NGUVU ZA WANANCHI KATIKA KATA ZINAZOTEKELEZA MRADI WA O&OD

Ofisi ya Idara ya Mipango,Takwimu na ufuatiliaji Mnamo  tarehe 30/8/2017 ilitembelea Kata za Kiromo, Fukayosi na Dunda na ilifanya ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo  inayoendelea kutekelezwa 

kwa nguvu za Wananchi kwa kushirikiana Ofisi ya Mkurugenzi ambapo Miradi mbalimbali ilikaguliwa ikiwa ni pamoja na :-

Mradi wa Zahanati ya Mwavi

Gharama za wananchi Halmashauri ilitoa kiasi cha Tsh 6,000,000, wadau wa Halmashauri walichangia kiasi cha Tsh 3,700,000, wananchi walishiriki kuchimba msingi, kumwaga zege na walitoa kiasi cha Tshs 499,000.

                                                                                                                                                       Halihalisi ya ujenzi wa Zahati katika kijiji cha Mwavi

Mradi wa Ujenzi wa Madarasa mawili shule ya Msingi Mwavi

Gharama za ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi Mwavi Halimashauri ya kijiji ilichangia kiasi cha Tshs 2,337,000,Ofisi ya kata ilitoa kiasi cha Tshs 2,500,000,mdau wa maendeleo walitoa 

mifuko ya saruji na kiasi cha Tshs 874,000/= na wananchi walichangia kiasi cha Tshs 403,000/=.Darasa lipo hatua ya gebo.

                                                                                                                                                                   Ujenzi wa Madara 2 shule ya Msingi Mwavi

MRADI WA UJENZI WA ZAHANATI YA BUMA

Gharama za ujenzi wa jengo la Zahanati ya Buma ni Mrahaba kutokana na machimbo ya mchanga ni kiasi cha Tshs4 6,550,000,    Ofisi ya Kata ilichangia kiasi cha Tshs 8,000,000 mfuko wa Jimbo  ulichangia kiasi cha Tsh. 2,000,000 na jumla ya fedha zote zilizotumika hadi hatua ya sasa ni Tsh. 60,000,000/=.

                                                                                                                                                                  Jengo la Zahanati ya Buma

Mradi wa Ujenzi wa nyumba ya Mganga wa Zahanati ya Buma

Gharama za ujenzi wa nyumba ya muuguzi ni wadau walichangia kiasi cha Tsh.13, 000,000 na wananchi walishiriki kwa kuchangia nguvu kazi kama kubeba mawe,michanga n.k.Aidha hadi sasa ujenzi upo hatua ya gebo.

                                                                                                                                                        Ujenzi wa Nyumba 2 za wauuguzi Zahanati ya Buma

Mradi wa Ujenzi wa Darasa la awali Chambezi

Gharama za ujenzi hadi sasa ni fedha za mfuko wa jimbo ni kiasi cha Tshs 1,000,000/=,Ofisi ya Kata ulichangia kiasi cha Tsh. 3,500,000 na kiasi cha Tsh 6,150,000 zilichangiwa na  asilimia 10 ya mauzo ya mashamba.Hadi sasa ujenzi umesimama kutokana na uchangiaji hafifu wa wananchi.

                                                                                                                                                                    Ujenzi wa darasa la awali Chambezi

Mradi wa Ujenzi wa nyumba ya Muuguzi kaole

Gharama za ujenzi hadi sasa ni wananchi wamechangia tofali 900 ,kiasi cha Tsh.1,200,000 na vilevile walijitolea kubeba mchanga,tofali n.k.Ujenzi mpaka sasa upo hatua ya linta.

                                                                                                                                                                     Ujenzi wa nyumba ya muuguzi Kaole

Mradi wa Ujenzi wa Kitongoji cha mto wa nyanza 

Gharama za ujenzi wa ofisi hii ni wananchi walichangia tofali 1300, saruji mifuko 10 na nondo 8.Aidha ujenzi upo hatua ya msingi na uchangiaji unaendelea.

                                                                                                                                                                  Ujenzi wa ofisi ya Kitongoji cha mto Nyanza

Mradi wa Ujenzi wa hosteli ya wasichana Dunda Sekondari

Gharama za ujenzi wa hosteli ya Wasichana Dunda sekondari ni Halmashauri ilitoa Tsh. 6,539,133 wananchi wamechanga kiasi cha Tsh. 2,600,00 mifuko ya saruji 60,tofali 3500 na kuna mdau wa maendeleo alichangia mifuko 60 ya saruji. Mpaka sasa ujenzi upo hatua ya kozi ya 5 na ujenzi unaendelea.

                                                                                                                                                    Ujenzi wa hosteli shule ya Sekondari ya Wasichana Dunda

Matangazo

  • RATIBA YA MHE. MKUU WA MKOA KUTEKELEZA TAARIFA YA MHE. WAZIRI WA ARDHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MAPINGA SIKU.. February 20, 2023
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA BAGAMOYO YARIDHISHWA NA UJENZI WA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO INAYOENDELEA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO.

    September 18, 2023
  • Viwanja vinauzwa Makurunge - Bagamoyo

    September 09, 2023
  • SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO LAONGEZA MAPATO YA NDANI

    August 15, 2023
  • MKURUGENZI MTENDAJI, MADIWANI WATEMBELEA BANDA LA BAGAMOYO MAADHIMISHO YA NANENANE MOROGORO.

    August 08, 2023
  • Angalia zote

Video

SERIKALI YAIPONGEZA KAMPUNI YA BAGAMOYO SUGAR| ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO MHE.HALIMA OKASH
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo