- Mwanzo
- Kuhusu sisi
-
Divisheni na Vitengo
-
Divisheni
- Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
- Divisheni ya Mipango na Uratibu
- Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
- Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
- Divisheni ya Elimu ya Sekondari
- Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
- Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
- Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
- Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
-
Vitengo
- Kitengo cha Huduma za Kisheria
- Kitengo cha TASAF
- Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
- Kitengo cha Fedha na Hesabu
- Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
- Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
- Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
- Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
- Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
- Kitengo cha mawasiliano Serikalini
-
Divisheni
- Machapisho
- Kituo cha Habari
- Miradi
- Utalii
- Zabuni
- Madiwani
Wakuu wa Idara na vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo leo Septemba 22, 2020, wamefanya kikao maalum na wataalam kutoka Wakala wa ufundi na Umeme (TEMESA) Mkoa wa Pwani ili kujadiliana changamoto mbalimbali zinazotokea pale Halmashauri inapohitaji huduma za utengenezaji wa magari toka kwa wakala hao na kujadili namna bora ya ufumbuzi wa changamoto hizo kwa pamoja.

