• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

PUNGUZENI MATUMIZI YA MKAA – RC.Ndikilo.

Posted on: April 16th, 2021

Mkuu wa       Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi   Evarist Ndikilo amewataka wananchi wa Wilaya ya Bagamoyo kubadilisha tabia ya kutumia mkaa kwa shughuli za majumbani na kuanza kutumia gesi ambayo itapunguza matumizi  ya kutumia mkaa na uharibifu wa mazingira.

Hayo yasemwa tarehe 16 aprili 2021 wakati wa hafla ya upandaji wa miti kimkoa iliyo fanyika katika eneo la Mlingotini Wilayani Bagamoyo na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wa Wilaya na Halmashari pamoja na wakazi wa mlingotini.

Mhe. Ndikilo amesema upo umuhimu mkubwa wa kubadili tabia ya kutumia mkaa na badala yake kuanza kutumia gesi ambayo itapunguza gharama pamoja na kupinguza idadi kubwa ya uhalibufu wa mazingira ambayo inachangia kukatwa kwa miti mingi ili kuweza kupatikana mkaa kwa ajili ya matumiazi ya majumbani.

‘’Bahati nzuri Mkoa wa Pwani tunakiwanda tunatengeneza mitungi ya gesi sasa ni jukumu letu sisi viongozi wa serikali na wawekezaji kuwapa taarifa ili kuwaletea huduma hii ya mitungi ya gesi kwenye maeneo yenu mtasaidia sana kuhifadhi mazingira’’ alisema Mkuu wa Mkoa  


Aidha Mhe. Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi kutunza mazingira na kuweka utaratibu wa kupanda miti katika maeneo yao wanayoishi na kila mmoja kuwa mlinzi kwa mwenzake katika utunzaji wa mazingira yaliyo wazunguka hasa katika suala la ukataji wa miti hovyo.

Mhe. Ndikilo ameagiza taasisi zote za kiserikali na zisizo za kiserikali kupanda miti katika maeneo yao ili kuhakikisha wanatunza mazingira kwa kupanda miti na kuendelea kuazimisha siku ya upandaji miti pia kufikia lengo waliojiwekea la kupanda miti katika kila Wilaya.

Kila mwaka serikali huadhimisha siku ya upandaji miti Kitaifa tarehe 1 Aprili aidha Mkoa unakuwa na siku maalumu ya uhamasishaji wa upandaji wa miti Kimkoa katika moja ya Halmashauri zake,vilevile kila Halmashauri inawajibu wa kupanda miti ipatayo 1,500,000 kwa mwaka kutokana na agizo la aliyekuwa Makamu wa Rais na sasa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Sanjari na hayo mkoa wa Pwani umefanya maadhhimisho ya upandaji wa miti kimkoa katika Wilaya ya Bagamoyo eneo la mlingotini nakupandikiza miche ya mikoko katika eneo hilo la bahari huku Wilaya hiyo ikipokea mgao wa miche 65,714 ipandwe kabla ya mwisho wa mvua .

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WEHESHIMIWA MADIWANI WAFANYIWA TAFRIJA YA KUWAAGA....

    June 20, 2025
  • MILIONI 8.13 YATOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU...

    June 20, 2025
  • MKURUGENZI BAGAMOYO ZIARA YA KIKAZI...

    June 13, 2025
  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo