• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

Posted on: April 15th, 2025

HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA.

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani  katika kutekeleza agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hasana  la  kutunza na kuhifadhi  mazingira ambapo imefanikiwa kupanda miti    zaidi ya mia 500  katika eneo la mnada wa mbuzi na ng'ombe uliopo katika Kata ya Zinga kwa mtoro lengo ikiwa ni kuweza kurudisha uoto wa halisi uliopotea  pamoja na  kupambana na wimbi la  na ukataji wa miti ovyo ambao unasabisha hali ya ukame.


Hayo yamebainishwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo Stellah Msofe wakati wa maadhimisho ya siku ya upandaji wa miti ngazi ya Wilaya ambayo yamefanyika katika eneo la Zinga kwa mtoro ambapo amewataka wakuu wa idara, watendaji,zikiwemo taasisi binafsi kuweka mikakati ya kuhimiza suala la upandaji wa miti ili kutimiza agizo la serikali la kupanda miti milioni 1.5 kwa kila mwaka.

Alisema kwamba serikali imeamua kwenda kupanda miti katika eneo hilo la mnada wa Zinga kutokana na kubaini kwamba mazingira yake yameathirika kwa kiasi  kutokana na kuwepo kwa shughuli mbali mbali za kibinadamu ikiwemo suala la uchimbaji wa mchanga hivyo wakaona kun aumuhimu mkubwa sana katika kuhakikisha anapanda miti mingi ambayo itasaidia kurejesha hali yake ya kawaida.


Naye Mkuu wa kitengo cha maliasili na mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoto Dkt. Obed Mwinuka amebainisha kwamba lengo lao  kubwa ni kutekeleza kampeni ya  kitaifa katika kuboresha mazingira ambapo wamefanikiwa kupanda miti ipatayo 500 katika eneo hilo la mnada wa mbuzi na ng'ombe lililopo kata ya Zinga.

Pia alisema kwamba lengo kubwa la Halmashauri ni kuhakikisha kwamba wanapanda miti mingi ambayo itaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kukabiliana na changamoto ya ukame ambao umekuwepo katika baadhi ya maeneo na kuweka mikakati madhubuti ya kuimarisha utunzaji wa mazingira 

Kwa upande wake Kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo amebainisha kwamba hadi sasa wameshafanikiwa kupanda miti zaidi ya laki saba na kwamba lengo na mikakati waliyojiwekea ni kufikia lengo la  serikali la kupanda miti   milioni 1.5 ambayo itakuwa ni mkombozi mkubwa katika kurudisha hali nzuri ya uoto wa hasiri.

Mmoja wa wawekezaji katika mnada huo wa Zinga kwa mtoro  Hassan  Kashingo  akizungumza kwa niaba ya wafanyabiashara wenzake ameahidi kushirikiana bega kw abegaa naa serikali ikiwa pamoja na kuitunza miti hiyo 500 ambayo imepandwa katika eneo hilo la mnada wa Zinga.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo