• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DED BAGAMOYO AFUNGUA MAFUNZO YA MRADI BAHARI MAISHA...

Posted on: September 23rd, 2024

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Shauri Selenda afungua mafunzo ya Mradi Bahari Maisha kwa wakulima wa mazao ya baharini yaliyofanyika tarehe 23 September 2024 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya.

Mkurugenzi amesema wakati akifungua mafunzo hayo kuwa ni muhimu kuwekeza katika vitu ambavyo vinafanya wananchi wanaweza kuendelea zaidi katika kuingiza kipato na kutoa shukrani kwa wadau hao wa mradi wa Maisha ni Bahari.

Pia Ndg Selenda ameendelea kwa kusema kuwa kiu yake ni kuona Bagamoyo inazarisha kwa wingi zao la mwani huku akisisitza uzalishaji huo unakuwa ni ajira kwa vijana wa Bagamoyo huku pia akizungumzia swala zima la vitendea kazi.

Sambamba na hayo Mkurugenzi amesema kuwa yupo tayari kuhakikisha anawapa ushirikiano vikundi hivyo na kuhakikisha wanapata mafunzo kila baada ya muda ili wazidi kuongeza ujuzi katika shughuli yao wanayoifanya.

Sanjari na yote Selenda amewaomba washiriki hao kuendelea kuweka bidii katika kulima zao hilo la mwani kwani hitaji lake ni kuona zao hilo la mwani linaweka historia na kuwa zao pendwa zaidi na linaongoza kwa kuzalishwa kutoka Bagamoyo  huku akiweka bayana kuwa kupitia zao hilo anaona linakwenda kutengeneza ajira kwa vajiana pia.

Nae Dkt.Bonamax Mbasa Mratibu wa Mradi Bahari Maisha ambae pia ni Mhadhili mwandamizi chuo cha mipango maendeleo vijijini amesema kuwa washiriki hao watajifunza nadhalia na vitendo huku pia akisema watakwenda kuwafundisha namna ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kupitia zao la mwani.

Mafunzo ya Mradi Bahari Maisha yameanza hii leo na yanatarajiwa kumalizika tarehe 29 September 2024  na ambapo mradi huo ni suluhu ya changamoyo za wakulima wa mazao ya baharini unotekelezwa na chuo cha mipango ya maendeleo vijijini kwa ufadhili wa shirika la maendeleo la umoja wa mataifa {UNDP}

Mradi huo unatarajia kuwa ndio suluhu ya changamoto za wakulima wa mazao ya baharini ya mwani,ufugaji wa jongoo Bahari na kaa katika maeneo ya Tanga,Unguja,Pemba na Bagamoyo .


Matangazo

  • NOTISI YA KUSUDIO LA KUANZISHA HALMASHAURI YA MJI BAGAMOYO YA MWAKA 2025.... October 23, 2025
  • TANGAZO LA UTEUZI WATENDAJI WA VITUO JIMBO LA BAGAMOYO.... October 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.... October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA... September 16, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • INEC YAONYA MAKARANI KUHUSU UTUNZAJI WA SIRI ZA UCHAGUZI....

    October 27, 2025
  • DED BAGAMOYO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI....

    September 30, 2025
  • UZINDUZI WA MAKAUSHIO YA MAZAO YA BAHARI BAGAMOYO.....

    September 24, 2025
  • ZIARA YA KUJIFUNZA NAMNA BORA YA MATUMIZI YA FUKWE....

    September 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • SILVAWIN
  • YAMITOTO
  • Slot Gacor
  • Situs Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200