• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Kitengo cha ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
        • Ujenzi
        • Kitengo cha TASAF
        • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Kitengo cha usimamizi wa Usafi na Taka
        • Divisheni ya Viwanda,Biashara na uwekezaji
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
        • Kitengo cha Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
        • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
        • Kitengo cha Fedha na Hesabu
        • Kitengo cha usimamizi wa Manunuzi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Divisheni ya utawala na rasilimali watu
    • Baraza la Madiwani
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi

Divisheni hiii inasimamiwa na Mkuu wa Divisheni Bi. Mary Kissimbo

Simu Na. +255 788 766 641

Email:  mary.kissimbo@bagamoyodc.go.tz  


Lengo
Kukuza mageuzi na maendeleo ya kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi.


Kazi
Divisheni itafanya kazi zifuatazo:-
(i) Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na Udhibiti wa
kilimo, umwagiliaji, Mifugo na Uvuvi;
(ii) Kupendekeza viwango na bei za bidhaa na huduma zitokanazo na kilimo, mifugo
na uvuvi;
(iii) Kuandaa mipango na programu fupi na ndefu za kuendeleza kilimo, umwagiliaji,
mifugo na uvuvi;
(iv) Kusimamia uendelezaji na utawala bora wa vyama vya ushirika katika
Halmashauri;
(v) Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau wanaohusika na kilimo, umwagiliaji,
mifugo na uvuvi;
(vi) Kuandaa taarifa za kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi; na
(vii) Kusimamia ukusanyaji na udhibiti wa mapato ya shughuli za kilimo, umwagiliaji,
mifugo na uvuvi.


Divisheni hii itaongozwa na Mkuu na itajumuisha Sehemu tatu (3):-
(i) Sehemu ya Kilimo;
(ii) Sehemu ya Mifugo; na
(iii) Sehemu ya Uvuvi.


3.7.1 Sehemu ya Kilimo
Sehemu itafanya shughuli zifuatazo:-
(i) Kutayarisha na kutekeleza programu za usambazaji wa mbolea katika vituo
mbalimbali vya mauzo;
(ii) Kuandaa programu za kupanga na kuhifadhi pembejeo za kilimo;
(iii) Kufanya uchunguzi wa udongo wa sampuli za shamba la mkulima na ushauri
ipasavyo;
(iv) Kutoa ushauri kwa wakulima kuhusu, utunzaji baada ya kuvuna, usindikaji wa
mazao ya kilimo na uongezaji thamani wa mazao ya kilimo;
(v) Kukadiria mavuno/uzalishaji wa mazao muhimu;
(vi) Kufanya kazi za takwimu na sensa ya kilimo;
(vii) Kufanya maonyesho ya majaribio ya majaribio ya aina mbalimbali na mbolea
kutoka kwa sehemu ya Halmashauri nzima;
(viii) Kusimamia uendelezaji na utawala bora wa vyama vya ushirika;
(ix) Kuratibu uwekaji hifadhi ya mbolea/mimea katika ngazi ya kijiji;
(x) Kuandaa kambi za mafunzo kwa wakulima katika ngazi ya kijiji;
(xi) Kutayarisha na kutekeleza mpango wa mseto wa mazao hasa kwa maeneo ya
umwagiliaji kwenye vitalu;
(xii) Kutekeleza Programu ya Maendeleo ya Bayogesi;
(xiii) Kupanga, kubuni, kujenga na kudumisha skimu za umwagiliaji;
(xiv) Kuwezesha uundaji wa mashirika ya wamwagiliaji na kuhakikisha kuwa asasi
zinapewa ujuzi unaohitajika kwa ajili ya usimamizi bora na endelevu wa
umwagiliaji;
(xv) Kusaidia utungaji na utekelezaji wa sheria ndogo za umwagiliaji na Chama cha
Wamwagiliaji katika maeneo yao; na
(xvi) Kutoa huduma za mrejesho kwa wakulima katika skimu ya umwagiliaji kwa
kuanzisha timu za usaidizi za usimamizi wa skimu za umwagiliaji.
Sehemu hiyo itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


3.7.2 Sehemu ya Mifugo

Sehemu itafanya shughuli zifuatazo:-
(i) Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za Mifugo;
(ii) Kuandaa mpango na programu ya muda mfupi na mrefu ya kuendeleza mifugo;
(iii) Kutathmini uhifadhi na matumizi ya rasilimali za mifugo;
(iv) Kusimamia uendelezaji na utawala bora wa vyama vya ushirika;
(v) Kutoa msaada wa kiufundi kwa wadau wa sekta ya mifugo; na

(vi) Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu mifugo.
(vii) Sehemu hiyo itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


3.7.3 Sehemu ya Uvuvi
Sehemu itafanya shughuli zifuatazo:-
(i) Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za uvuvi;
(ii) Kuandaa mpango na programu ya muda mfupi na mrefu kwa ajili ya kuendeleza
rasilimali za uvuvi;
(iii) Kutathmini uhifadhi na matumizi ya rasilimali za uvuvi;
(iv) Kusimamia uendelezaji na utawala bora wa vyama vya ushirika
(v) Kutoa msaada wa kiufundi kwa wadau wa sekta ya uvuvi; na 

(vi) Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusika na uvuvi.
Sehemu hiyo itaongozwa na Afisa Mfawidhi.



Matangazo

  • RATIBA YA MHE. MKUU WA MKOA KUTEKELEZA TAARIFA YA MHE. WAZIRI WA ARDHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MAPINGA SIKU.. February 20, 2023
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA BAGAMOYO YARIDHISHWA NA UJENZI WA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO INAYOENDELEA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO.

    September 18, 2023
  • Viwanja vinauzwa Makurunge - Bagamoyo

    September 09, 2023
  • SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO LAONGEZA MAPATO YA NDANI

    August 15, 2023
  • MKURUGENZI MTENDAJI, MADIWANI WATEMBELEA BANDA LA BAGAMOYO MAADHIMISHO YA NANENANE MOROGORO.

    August 08, 2023
  • Angalia zote

Video

SERIKALI YAIPONGEZA KAMPUNI YA BAGAMOYO SUGAR| ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO MHE.HALIMA OKASH
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo