• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Historia


HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO

1.      UTANGULIZI
Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ni moja kati ya Halmashuri 9 katika Wilaya 7 za Mkoa wa Pwani. Halmashauri ya Bagamoyo inaundwa na Tarafa 2, Kata 11, Vijiji 8 na Vitongoji 174  

1.1.JIOGRAFIA YA WILAYA
Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ina ukubwa wa eneo lenye kilometa za mraba 945 ambalo ni eneo la nchi kavu.

1.2.MIPAKA YA ENEO
Halmashauri ya Wilaya inapakana na Bahari ya Hindi kwa upande wa Mashariki, Kusini inapakana na Wilaya za Kibaha na Kinondoni, Magharibi na kaskazini inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.  Makao Makuu ya Wilaya yapo Bagamoyo mjini (mji wa kihistoria /stone town) umbali wa kilomita 65 kaskazini ya jiji la Dar es Salaam.

1.3.HALI YA HEWA
Halmashauri ya Wilaya ya Bagamyo inapata kiasi cha wastani wa mm 800 – mm1200 za mvua kwa mwaka.Wilaya  ina misimu miwili ya mvua ambayo ni Msimu wa Vuli unaoanzia mwezi Oktoba – Desemba na Msimu wa Masika unaoanzia mwezi Machi – Juni.
Mtiririko wa mvua na Idadi ya siku kwa kipindi cha miaka 10 (2007 – 2016)
 
1.4.IDADI YA WATU
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Halmashauri ya Wilaya  inajumla  ya wakazi 205,478 (wanaume 101827 na  wanawake 103651). Kutokana na ongezeko la watu la  Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa mwaka 2022 inakadiriwa kuwa na watu 205,478 (wanaume 101827 na wanawake 103651).

1.5.PATO LA MWANACHI
Pato la Mwananchi limekuwa likiongezeka Mwaka hadi mwaka Kama ifuatavyo:
 
Lengo la Halmashauri ni kuboresha shughuli za uzalishaji ikiwa ni pamoja na  Kilimo, ufugaji wa Mifugo na Nyuki, huduma za jamii  na Miundombinu ya barabara ili Pato la mwananchi kwa mwaka 2016/2017 liwe zaidi ya Tsh 858,126.


1.6.SHUGHULI ZA KIUCHUMI

Shughuli kuu za Kiuchumi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ni pamoja na;

•Kilimo; Mpunga, Mahindi, Pamba, Ufuta, Mananasi, Korosho, Viazi vitamu, Nazi na Maembe.

•Uvuvi katika Bahari ya Hindi, mto Ruvu pamoja na mabwawa ya kuchimba.

•Ufugaji.

•Uvunaji wa chumvi pamoja na zao la mwani.

•Utalii wa Asili (Fukwe nzuri za baharí ya Hindi, viumbe vya baharini, Hifadhi ya mikoko, bustani ya Matumbawe)

•Utalii wa kiutamaduni (Maeneo ya kihistoria, uchoraji, uchongaji, ngoma za asili, tiba za jadi, mavazi)
Shughuli zinazoongoza kukuza uchumi wa Halmashauri ya Wilaya ni pamoja na kilimo, ufugaji, uvuvi na uuzaji wa rasilimali madini ya aina mbalimbali kutoka pembezoni mwa Bahari; Mapinga, Magomeni, Makurunge, Kiromo, Yombo na Kitame.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo